Uongozi wa timu ya Yanga ukizungumza na waandishi wa habari pamoja na wanachama (hawapo pichani) juu ya tamko la yanga kukataa mechi zao zisirushwe na Azam Media
Wanachama wa timu ya Yanga wakishangilia tamko hilo la kukataza mechi zao kurushwa kwenye Azam Media

Papiss Cisse
Papiss Cisse na wasimamizi wa
klabu ya Newcastle hatimaye wameafikiana na sasa mchezaji huyo ataanza
kuvalia sare rasmi ya klabu hiyo iliyo na nembo ya kampuni ya Wonga,
licha ya msimamo wake wa kidini.
Cisse, ambaye ni Muislamu, alijiondoa kutoka kwa
kikosi cha Newcastle kilichokwenda ngambo kwa mazoezi yake ya klaby ya
msimu kuanza, baada ya kuwafahamisha wasimamizi wa klabu hiyo kuwa
hakuwa tayari kuvalia sare ambayo inaendeleza kampuni ya kutoa mikopo.Lakini baada ya mazungumzo yaliyodumu kwa muda wa wiki moja, pande hizo mbili zimeafikiana na Cisse sasa ataendelea kuichezea klabu hiyo.


.jpg)






.jpg)



















