Monday, July 22, 2013

JIJI HILI LIMEFILISIKA



Jaji Rosemarie Aquilina wa jimbo la Ingham, Michigan Marekani ametoa hukumu kwa mujibu wa ibara ya 9 ya kufilisika kwa jiji la Detroit mwishoni mwa wiki iliyopita.
 SOMA ZAIDI


“Nna wasiwasi mkubwa sababu ulikuwa ni uamuzi wa haraka sana ambao haukupaswa kuwepo ambao mahakama ilifanya” alidai jaji wakati anatoa maamuzi. Uamuzi huo unakuja kama majibu ya kesi tatu tofauti zilizofunguliwa na mfuko wa jamii wa jiji hilo ambao unalipa penshini wastaafu wa jiji.

“Kama wafungua mashtaka wangefumbia macho uamuzi huo usingetoka” alisema Jaji Rosemarie.
Kwa maana hiyo, idara ya habari jijini Detroit inaendelea kutoa ripoti kuwa Jaji Steven Rhodes wa Mahakama ya Ufilisi ya Marekani ambaye ni mkazi wa Detroit amepewa jukumu la kuangalia historia ya kesi za ufilisi.




Suala hilo limekuwa mjadala mkubwa katika mtandao wa kijamii wa Twitter tokea hali hiyo itanganzwe mwishoni mwa wiki iliyopita.


No comments:

Post a Comment