Watangazaji wa Kipindi cha Clouds 360 James Tupatupa na Sam Sasali wakiwa mbele ya Baloon wakati liwekewa hewa kabla ya kuanza safari ya utalii.
Baloon likiwekewa hewa .
Sehemu ya ndani ya Baloon ikionekana wakati likijazwa hewa kabla ya kuanza safari.
Rubani wa Baloon Masoud Mohamed akiruhusu gesi kwa ajili ya kuchoma Oxygen wakati wakiandaa Baloon kwa ajili ya kuanza safari ya utalii katika Hifadhi ya Taifa ya Seengeti.
Rubani wa Baloon ,Masoud Mohamed akiongoza chombo hicho kupita maeneo mbalimbali ya Hifadhi ya Taifa ya Serengeti.
Baadhi ya wageni wakiwemo Wanahabri wakiwa katika kikapu maalum kinachobebwa na Baloon .
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
No comments:
Post a Comment