Sunday, April 16, 2017

CRATOR YA NGORONGORO YAPATA UMAARUFU ZAIDI BAADA YA CLOUDS 360 KURUSHWA MUBASHARA KUTOKA ENEO LA MITI MITATU

Gari maalumu la kurushia matangazo ya moja kwa moja la kituo ha televisheni cha Clouds likiwa Crator ya Hifadhi ya Taifa ya Ngorongo kwa ajili ya kurusha kipindi cha Clouds 360.



Mtangazaji Sam Sasali akifungua kipindi Clouds 360 moja kwa moja kutoka eneo la Crator Ngorongoro.


Watangazaji Baby Kabaye na Hassan Ngoma wakijiandaa kuanza kipindi.




Kipindi cha Clouds 360 kikirushwa kutoka eneo la Crator Ngorongoro.



Watangazaji Baby Kabaye na Hassan Ngoma wakizungumza jambo wakati wakimkaribisha Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhandisi Ramo Makani katika mahojiano wakati wa kipindi hicho.



Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhandisi Ramo Makani akiwasili katika eneo la Miti mitatu ndani ya Crator Ngorongoro.



Watangazaji Baby Kabaye na Hassan Ngoma ,wakifanya mahojiano na Naibu Waziri Ramo Makani.



Mkurugenzi wa Utalii wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Ibrahim Musa (kulia) pamoja na Meneja Mawasiliano wa TANAPA,Pascal Shelutete wakifuatilia kipindi hicho katika eneo la Crator.





Wananchi wa jamii ya Masai pia walijumika na askari wa Hifadhi hiyo kufuatilia kipindi hicho.



Mtangazaji wa Sports 360,James Tupatupa akivishwa vazi rasmi na wananchi kabila la Wamang'ati wakati akiingia katika kipengere cha michezo katika kipindi hicho.







Mhandisi Ramo Makani akizungumza jambo na viongozi wa TANAPA na Ngorongoro.





Naibu Waziri,Makani akiwa katika picha ya pamoja na wananchi wa jamii ya Wamang'ati katika ene la Miti Mitatu.Ngorongoro.



Mnyama Tembo akionekana katika eneo la Crator ,Ngorongoro.



Eneo la Mti Mitatu.



Wanyama Pundamilia ndani ya Crator,Ngorongoro.



Wanyama Nyumbu katika Crator ,Ngorongoro.







Eneo la Crator katika Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro




Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.

No comments:

Post a Comment