Muslim Brortherhood kinalaumu maafisa wa usalama kwa utovu wa usalama Watu waliokuwa wamejihami nchini
Misri wamewaua kwa kuwapiga risasi wafuasi wawili wa rais aliyeondolewa
mamlakani Mohamed Morsi.
Chama cha Muslim Brotherhood, kinachomuunga mkono Mosri, kimelaumu maafisa wa usalama kwa utovu wa usalama , lakini mwandishi wa BBC mjini Cairo anasema madai haya ni vigumu kuyathibitisha.
Kaskazini mwa Cairo, katika mtaa wa Mansoura,bomu lililipuka nje ya ofisi za polisi na kuwajeruhi maafisa kadhaa wa polisi pamoja na raia.
No comments:
Post a Comment