Tuesday, June 03, 2014

TANZANIA NA UHOLANZI ZA SAINI MAKUBALIANO YA ANGA

Waziri wa Uchukuzi Dr. Harrison Mwakyembe akisaini mkataba wa makubaliano ya usafiri wa anga kwa ndege zinazokidhi viwango na Balozi wa Uholanzi kwa niaba ya nchi yake, jijini Dar es Salaam leo katika ofisi za Wizara ya Uchukuzi.

No comments:

Post a Comment