Kichanga chakutwa kimekufa kikiwa kimetupwa katika maeneo ya kawe kama kinavyoonekana katika picha. Inadaiwa kuwa watoto mtaani walikuwa wanacheza wakakuta mfuko wakaokota na walipofungua wakakuta katoto hako kakiwa kamewekwa plaster mdomoni ili kakilia sauti isisikike. Watoto hao waliamua kuita watu wazima na mpaka sasa mama wa mtoto huyo bado hajapatikana.
No comments:
Post a Comment