Katika wall yake msanii maarufu wa Bongo Movie, Elizabeth Michael aka Lulu (PICHANI) ameonesha kuguswa na alichokiandika Judith “Lady JayDee” Wambura kuhusiana na kichwa cha habari kinachohusiana na taaria iliyoandikwa katika moja ya magazeti pendwa nchini. Taarifa hiyo iliandikwa kuwa "JAYDEE AMPIGIA MAGOTI RUGE"
Kwa masikitiko makubwa Lulu alieleza kilichomgusa na kwamba ni tabia ya waandishi wa magazeti kuandika taarifa zisizokuwa na ukweli ili tu kuuza magazeti yao. Lulu aliweka wazi kuwa “Siwezi kulaumu sana ila inabidi watu muamke na msiwe wepesi wa ku judge mnayoyasikia tu tena yasio na uthibitisho...!”
Katika post yake ndefu, Lulu alidai kuwa wamiliki na waandishi wa vyombo mbalimbali vya habari kuwa wameshikilia hizo nafasi na kujisahau wakiamini kuwa wana “mikataba na mungu” na kwamba ndugu zao au watoto wao watakuwa marais au watu fulani katika sekta mbalimbali,
ENDELEA KUSOMA...
Anasema “au mnafikiri tukikaa kimya ndo tunapenda!!?au mnafikiri kuwa watu maarufu ndo tuwe malaika??” aliongeza Lulu alihoji kuwa hatukatai hiyo (uandishi wa habari) ni kazi yenu na kuwa kwanini basi asilimia 80 ya kazi hiyo ni uongo?
Hichi ndicho alichoandika Lulu Michael “Asante dada @jidejaydee Yani hyo headline ingekuwa Lulu kila mtu angerukia gazeti na wengine wangejifanya Kama walikuwepo eneo la tukio...!!!Siwezi kulaumu sana ila inabidi watu muamke na msiwe wepesi wa ku judge mnayoyasikia tu tena yasio na uthibitisho...!
Nikirudi upande wa waandishi na wahusika wa vyombo vya habari kwa ujumla....dah sawa nyinyi mmebahatika kushika hayo madaraka lkn mshawahi kufikiria Kama mna ndugu...achilia mbali ndugu wengi wenu ni wazazi na mna watoto,
...hv inakuwaje cku umekaa unamuona dada yako,kaka yako au mwanao kwenye front page kwa taarifa za uzishi na umbea umbea tu!???au mna mikataba na Mungu kwamba ndugu zenu na watoto wenu watakuwa Maraisi au watu flani ktk sekta flani!????
au mnafikiri tukikaa kimya ndo tunapenda!!?au mnafikiri kuwa watu maarufu ndo tuwe malaika!??hatukatai hyo ni kazi yenu lkn kwann asilimia 80 ya kazi yenu ni uongo uongo tu!???haya labda lulu anajisafisha na kulalamika na @jidejaydee vp!???
na naamini sio mm tu...Tunafahamu ni kazi yenu lakini ifanyeni kwa ufasaha basi....nadhani ikiwa hvyo itakuwa bora....Nwei...nisinukuliwe vbaya...cjui chochote kuhusu Gazeti hili...na wala ctaki kujua kwasababu hainihusu...lakini nimeguswa na maneno ya dada @jidejaydee Tafuteni hela...sawa....lakini sio kwa kuumiza wengine...!!! Am out kikikutosha...feel free kwenda nacho..!!!!”

No comments:
Post a Comment