ENDELEA KUSOMA...
Gari hilo (Pichani) lililokuwa linatoka njia panda Segerea kuelekea Tabata Kinyerezi ilikuwa limebeba kontena lenye mzigo mzito huku likipita katika daraja hilo la chuma. Daraja hilo lilishindwa kuhimili uzito huo na kusababisha kuvunjika na gari hilo kudondokea katika mto Mzimbazi.
Kutokana na hali hiyo wakazi Tabata Kinyerezi wanalazimika kupita Tabata Segerea na Tabata Barakuda.

No comments:
Post a Comment