Wednesday, April 16, 2014

UKAWA WATOKA NJE YA BUNGE MAALUM LA KATIBA

Wakati alipo kuwa akichangia Bungeni Mwenyekiti wa CUF Pro.Ibrahimu Lipumba alisema, Chama cha Mapinduzi kupitia Waziri wake Mhe. Lukuvi wakati akiwa kwenye kanisa la Methodist hivi karibu, alisema kuwa serikali 3 italeta vita,

Prof. Limpumba alisema "Waziri amesema ndani ya kanisa serikali 3 ni njia ya wenzetu kutangaza nchi ya kiislamu, inakubalika? Lukuvi alidai kuwa Wazanzibar wanataka serikali tatu ili waweze kujiunga na nchi za kiisilamu na kwamba kama katiba itapita kwa muundo wa serikali 3 basi nchi itaongozwa na jeshi"

Vile vile kumeibuka kauli za kutusi watu wanao pinga muundo wa serikali 2, kutokana vile vile na kauli za kibaguzi za kubaguana tunawaachia Interrahamwe yenu(CCM) Hiyo ndiyo kauli ya mwisho ya Mhe.Pro Lipumba.

UKAWA wote waliamua kuinuka na kutoka nje.

TAFADHALI ANDIKA MAONI YAKO HAPO CHINI


No comments:

Post a Comment