"
Kitakacho ua muungano wa Tanzania ni Tanganyika na Zanzibar itakuwa shahidi. Ndio maana naungana na ccm kutaka serikali 2"
"Tume ya Jaji Warioba itakumbukwa kwa kuua muungano na kubariki mauaji hayo. Bunge hili litakumbukwa kwa kuvunja muungano."
"
Hakuna serikali duniani inayoendeshwa bila kodi."
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI. . .
No comments:
Post a Comment