Saturday, September 02, 2017

SINGELI MICHANO YA EFM YAITEKA TABATA

 Msanii Chipukizi wa Muziki wa Singeli nchini akionyesha umahiri wake wa kuimba katika jukwaa la Singeli michano linaloendeshwa na programu ya Mziki mnene na Nje ndani  ya Efm Radio
 Mashabiki wa Muziki wa Singeli wakiwa wanashangilia ndani ya Uwanja wa Toto Tundu Tabata Jijini Dar es Salaam leo

 Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva Harmorapa akiongoza kundi la Efm Joging Tabata katika mazoezi ya mbio za pole yaliyofanyika asubuhi ya eo jijini Dar es Salaam

 Baadhi ya Wanachama wa Efm Jogging  wakiwa katika mazoezi ya mbio za pole Tabatajijini Dar es Salaam leo
 Mkurugenzi wa Radio ya Efm na Tv E Sebo akiwania mpira mebele ya beki wa Tabata Veterans katika mchezo wa kirafiki uliochezwa katika uwanja wa Tabata Sigara Jijini Dar es Salaam
 Benchi la Ufundi la timu ya Soka ya Efm na Tv E likiongozwa na Sudi Mkumba
 Wacheaji wa Efm wakifanya mazoezi kablaya mchezo huo kuanza mapema leo
Mashabiki wa soka waliofika kutazama mchezo kati ya timu ya Efm na Tabata Veterans


No comments:

Post a Comment