Saturday, January 10, 2015

TUJIVUNIE VYAKWETU NA TUWAUNGE MKONI WATANZANIA: AFRIKA ARISE - JHIKOMAN

Msanii Mtanzania Jhikoman, ametoa nyimbo kali iitwayo 'Afrika Arise' ni msanii wa kwanza kushirikiana na mmoja wa watoto wa wakongwe wa reggae duniani, mtoto wa mzee Morgan kutoka katika familia ya watoto watano, maarufu duniani kama Morgan Heritage, Peetah Morgan.

Muunge mkono kwa kupata nyimbo hiyo katika hii link http://cdbaby.com/cd/jhikoman4

No comments:

Post a Comment