Saturday, September 02, 2017
BURIAN ANATOLIA NSEKA KAPUMZIKE KWA AMANI MAMA YETU
Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa Mama Anatolia Nseka kuingiza nyumbani kwake Tabata Barakuda jijini Dar es Salaam jana baada ya kutoka Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, ulikokuwa umehifadhiwa baada ya kufariki dunia Tarehe 30-8-2017 katika hospitali hiyo alikokuwa amelazwa kwa matibabu. Mama Nseka mazishi yake yanatarajiwa kufanyika leo Makaburi ya Kinyerezi.
Baadhi ya ndugu zake mama Nseka wakilia baada ya mwili huo kuwasili nyumbani kwake. Hakika ni huzuni kubwa kumpoteza mpendwa wetu.
Vilio vikiendelea.
Mwili ukishushwa kutoka katika gari maalumu ukitokea Hospitali ya Muhimbili.
Mwili ukiingizwa ndani.
Ni huzuni kubwa.
Jeneza likiingizwa nyumbani kwake.
(Imeandaliwa na mtandao wa www.habari za jamii.com-simu namba 0712727062)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment