Wednesday, April 16, 2014

MVUA KALI JIJINI DAR ES SALAAM ZINAENDELEA KWA KISHINDO ANGALIA VIDEO HII LIVE

Wale mnaotumia barabara ya Mwai Kibaki hii ndio hali sasa hivi

Bofya chini kuona hali ilivyo sasa hivi eneo la tukio live


  

 Upanga napo mtaa wa Jamatini kwa nyuma hakupitiki, mafurko.

TAFADHALI CHANGIA MAONI YAKO HAPO CHINI



No comments:

Post a Comment