Wednesday, April 09, 2014

MATOKEO YA MECHI YA YANGA NA KAGERA, AZAM NA RUVU HAZIKUCHEZA

Mchezo kati ya Yanga na Kagera Sugar umeisha huku Yanga ikiongoza kwa 2 - 1 huku katika dakika 45 za mwisho Yanga walikosa magoli mengi.

Mchezo baina ya Azam na Ruvu Shooting mechi iliyokuwa ichezwe katika uwanja wa Mabatini, Mlandizi Mkoa wa Pwani, umelazimika kuahirishwa kutokana na uwanja kujaa maji kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha nchini.

No comments:

Post a Comment