Thursday, February 13, 2014

GIRLFRIEND WA TAJIRI ABRAMOVICH AIPATA FRESH, KISA ANGALIA PICHA


Hawara wa tajiri bilionea na mmiliki wa klabu ya mpira wa miguu ya Chelsea, Roman Abramovich, Dasha Zhukova (PICHANI JUU) amewashiwa moto baada ya kuweka picha yake akiwa amekalia kiti kilichochongwa sanamu ya mwanamke mweusi akiwa uchi kama anavyoonekana pichani.

SOMA ZAIDI...


Inadaiwa kuwa picha hiyo aliiweka mtandaoni siku ambayo ilikuwa ya sherehe za Martin Luther King, hasira za watu zilimsababisha kuitoa na kisha kuichonga. Sanamu hiyo pia ina mfano wa mwanamke mweupe pia

Na wewe je msomaji unafikiri kuwa kiti hicho ni udhalilishaji? Toa maoni yako


No comments:

Post a Comment