Hali ya mkoa wa Mtwara bado haijatulia ambapo mpaka sasa vibanda vya biashara, nyumba za wananchi zimeteketezwa kwa moto na bado hali za vurugu zinaendelea
Huku taarifa zilizotolewa awali zimeonyesha kuwa baadhi ya watu ambao wanadhaniwa waanzirishi wa fujo hizo wamekamatwa


No comments:
Post a Comment