Thursday, May 23, 2013

MR NICE AZOMEWA KENYA


Mwanamuziki wa miondoko ya UTAKE staili Lucas Mkenda 'Mr Nice' amekumbwa na makubwa baada ya kuzomewa na mashabiki wake nchini Kenya


Hali hiyo imetokea baada ya msanii huyo kuonyesha mapozi wakati alipoitwa jukwaani kuwasalimia mashabiki wake na kuda kuwa "siwezi kufanya chochote kwenye jukwaa hilo kwani hamna hela ya kunilipa" alitoa kauli hiyo Mr Nice mbele ya mashabiki wake

No comments:

Post a Comment