Hapa ni barabara ya Kawawa karibu na Lango la Jiji, mbele guta na vyakula kutoka sokoni, nyuma frame za makochi kwenye guta katikati ya barabara, inawezekana ndio chanzo cha foleni
Kabebwa yeye na mzigo wake, hapa barabara ya Morogoro, eneo la UFI
Ubungo mataa, gari zikiwa kwenye foleni
No comments:
Post a Comment