Kutoka kushoto ni Mh. AloyceKimaro, Mh Anne Kilango, Mh. Samwel Sitta, Mh. James Lembeli na Mh. Harison Mwakyembe, wakiwa katika maombi kanisani hapo |
Mh. Mwakyembe akiondoka kanisani hapo |
Kutoka kushoto ni Mh. AloyceKimaro, Mh Anne Kilango, Mh. Samwel Sitta, Mh. James Lembeli na Mh. Harison Mwakyembe, wakiwa katika maombi kanisani hapo |
Mh. Mwakyembe akiondoka kanisani hapo |
Mungu amulinde,watu hao lazima wanajulikana je serikali imechukua hatua gani?Kama alipewa sumu na ni kiongozi wa watu.Ni vema tukajua hatua za kiuchunguzi zinazochukuliwa na serikali.Kwani mtu wa kumpatia sumu kiongozi wa wananchi hana nia njema na nchi huyo anaweza hata kutumaliza watanzania.Maana kuna nini??na anataka nini?je watanzania tuendele kuwa watumwa wa majasusi na matajiri wachache wanaotaka kutumeza ili tuendelee kuwa watumwa?MUNGU IBARIKI TANZANIA,MUNGU IBARIKI AFRIKA.
ReplyDelete