Tuesday, September 09, 2014

BREAKING NEWS: PICHA ZINATISHA SANA - AJALI MBAYA, MWANAMKE ASAGWA KAMA CHAPATI

TAHADHARI PICHA ZINATISHA SANA

Taarifa iliyotufikia hivi punde ni kwamba imetokea ajali mbaya leo asubuhi eneo la Mbezi Tangi Bovu, mwanamke ambaye hakutambulika jina lake aligongwa na gari aina ya Tata Novus ya kampuni ya B.H.Ladwa LTD Group yenye usajili namba T277CLY, na kupoteza miasha hapo hapo baada ya mwili wake kusagwa vibaya na kuharibika kama picha zinavyoonesha chini.


ROHO YA MAREHEMU ILALE MAHALI PEMA PEPONI







1 comment: