Kituo cha Daladala cha Moroko Hoteli katika barabara ya Kawawa kama kinavyoonekana kilivyo hoi na hatimae watu kukikwepa, kama kilivyokutwa na kamera yetu. |
Mwendesha pikipiki akitumia njia ya waenda kwa miguu kama namna ya kukwepa msururu mrefu wa wapanda baskeli juzi katika barabara ya Kawawa kama alivyonaswa na kingamuzi chetu. |
Brother ziba hicho kidudu cha huyo mtoto hapo muwekee cover please.
ReplyDeletePoa will do, asante kwa kuliona hilo
ReplyDelete