Wednesday, March 14, 2012

Wajapani Waadhimisha Mwaka Mmoja baada ya Tsunami

Rais msaafu wa ya tatu, Benjamin Mkapa akitoa hotuba katika maadhimisho ya mwaka mmoja tokea Japan ikumbwe na tetemeko la chini ya bahari na kusababisha tsunami. Japan iliingia hasara kubwa ikiwepo kupoteza maisha ya raia wake wengi, miundo mbinu kuharibika vibaya, vinu vya nyuklia kuharibika na kusababisha uharibifu mkubwa ikiwepo hali ya hewa kujaa urania. Kulia ni Balozi wa Japan nchini, Bw. Masaki jana katika hafla hiyo nyumbani kwake.

 Baadhi ya wageni waalikwa alikuwepo mwenyekiti wa CUF ambaye hivi karibuni alikuwa nchini Marekani na kuteuliwa mwenyekiti wa wachumi

 Wataalamu wa roboti wakionyesha uwezo wa roboti zilizoko mezani kwa mgeni rasmi, katika shughuli iliyofanyika jana nyumbani kwa balozi wa Japan katika kuadhimisha mwaka mmoja baada ya tsunami. wanaoshuhudia ni kutoka kushoto ni Balozi Masaki, Rais Mkapa, Mama Mkapa na Waziri Membe

Mtaalam wa roboti akitoa maelezo kwa watoto waliohudhuria shughuli hiyo jana

No comments:

Post a Comment