Mkurugenzi Mkuu wa TCRA, Prof. John Mkoma (kulia) akisubiri kutoa zawadi ya simu ya mkononi kwa mshindi wa kujibu maswali katika warsha ya siku moja iliyofanyika katika makao makuu ya ofisi hizo barabara ya Samnujoma jana. TCRA iliadhimisha siku hiyo kwa kauli mbiu 'FedhaYetu Haki Yetu'. Katikati ni Ofisa wa Habari, Doris Saivoy na Thadayo Ringo
No comments:
Post a Comment