Tuesday, March 27, 2012

KOKOLO

Mtoto ambaye jina lake halikuweza kupatikana akiokota samaki wadogo baada ya uvuvi uliofanyika katika pwani ya Kawe hivi karibuni, inasemekana nyavu zinazotumika ni haramu kwa shughuli hiyo kwani kuzoa kila kitu bahari mpaka visamaki vidogo ambavyo ndo kwanza vimezaliwa. Chini ni wavuvi wakeiendelea na shughuli hiyo




No comments:

Post a Comment