Thursday, February 11, 2016

WANAFUNZI WAENDELEA KUTEMBELEA DUKA LA KISASA LA AIRTEL EXPO

 Wanafunzi wa chuo cha A3 Institute of Technology wakisikiliza mafunzo kutoka kwa mfanyakazi wa kampuni ya simu ya Airtel (hayupo pichani) walipofanya ziara ya kimafunzo katika duka jipya la Airtel Expo katika ofisi za makao makuu ya Airtel jijini Dar es Salaam.

 Afisa mauzo wa Airtel Deogratius Gerald (katikati) ,akifafanua jambo kwa baadhi ya wanafunzi wa A3 Institute of Technology ,wakati walipofanya ziara ya kimafunzo katika duka jipya la Airtel Expo katika ofisi za makao makuu ya Airtel jijini Dar es Salaam.


 Wanafunzi wa chuo cha A3 Institute of Technology wakiangalia vifaa na simu mbalimbali vinavyopatikana katika duka jipya la Airtel Expo walipofanya ziara ya kimafunzo katika duka jipya la Airtel Expo katika ofisi za makao makuu ya Airtel jijini Dar es Salaam.

 Meneja huduma kwa Wateja wa Airtel Happy John (kushoto) , akiwakabidhi zawadi wanafunzi wa chuo A3 Institute of Technology walipofanya ziara ya kimafunzo katika duka jipya la Airtel Expo katika ofisi za makao makuu ya Airtel jijini Dar es Salaam akishuhudia na afisa mauzo wa Airtel Tanzania Prosper Mwanda (kulia)
Afisa mauzo wa Airtel Celine Njuju akimkabidhi zawadi mwanafunzi wa chuo cha A3 Institute of Technology walipofanya ziara ya kimafunzo katika duka jipya la Airtel Expo katika ofisi za makao makuu ya Airtel jijini Dar es Salaam.


No comments:

Post a Comment