Thursday, February 11, 2016

AJALI MBAYA, SIMBA MTOTO LAUA NA KUJERUI LEO ASUBUHI


Ajali mbaya imetokea kama inavyoonekana pichani mkoani Tanga leo asubuhi. Ajali hiyo ilitokea wakati basi la Kampuni ya Simba Mtoto ya Tanga ilipogongana na lori uso kwa uso katika eneo la Pangamlima, Wilaya ya Korogwe Mkoani Tanga. Basic hilo lilikuwa linatoka Tanga kuelekea Dar es Salam. Taarifa za awali zinaeleza kuwa watu zaidi ya 11 wamepoteza maisha na wengine 29 kurehiwa vibaya katika ajali hiyo.









No comments:

Post a Comment