Abiria waliojazana katika kivuko cha Mv. Kigamboni wakiwa
katika hali ya kuchanganyikiwa baada ya eneo la mlango wa kushushia abiria na
magari kulegea na baadhi ya watu kulowa. Kivuko hicho kilichokuwa kinajiandaa kuondoka
upande wa Kigamboni kuja eneo la Feri jana asubuhi, Kivuko hicho kilizidiwa
uzito baada ya abiria kuwa wengi kupita uwezo wa kivuko hicho. Hata hivyo
abiria wote walivuka salama.
No comments:
Post a Comment