Serikali imezitaka hospitali, zahati, vituo vya afya ambavyo bado havijatakeleza mfumo waukusanyaji mapato ya huduma kwa kutumia mtandao vitekeleze agizo kwa kuwa umeonyesha matokeo chanya.
Kauli hiyo imetolewa jana jioni na NaibuWaziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii,Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kigwangalla wakati wa ziara yake katika mkoa wa Njombe na Songea.“ Mfumo waukusanyaji mapato kwa kutumia mtandao umeongeza mapato katika baadhi yahospitali mfano Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Hospitali ya Rufaa ya Mbeya,”alisema Naibu Waziri huyo.
Aliongezakwa uboreshaji wa mfumo wa mapato utasaidia kuongeza kipato ambachokitasaidia uendeshaji wa shughulimbalimbali za huduma za afya, mfano kununua vifaa tiba, kutoa motisha kwawatumishi na kuwajengea nyumba.
“ Ni lazimamuwe na nyumba za kuishi na vifaa tibavya kisasa, maabara na majengo ya upasuaji bila ya kufanya hivyo hamtaweza kupata madaktari bingwa,”alisisitiza. Dkt. Kigwangalla aliwataka watumishi ya sekta yaafya nchini kuwa wabunifu katika kutatua changamoto wanazokukabiana nazo kwakutumia mapato yanayokusanywa au kukopa katika Mfuko wa Bima ya Afya, badala yakusubiri Serikali ifanye kila kitu wakati kuna njia mbadala.
Naibu Wazirihuyo alifanya ziara pia katika hospitali ya Mkoa wa Songea alikuta changamoto za taa za kufanyia upasuaji navitanda vya zamani kwenye chumba cha upasuaji.]Katika kituo cha afya cha Mjimwema ambapo alihushuhudia ukarabati wa mfumo wa vyoo na ujenziwa chumba cha upasuaji.

No comments:
Post a Comment