Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akiongea na viongozi wa COSOTA na wa Kampuni ya Copyright Management Eas t Africa kuhusu mfumo wa ukusanyaji wa mirahaba utakavyokuwa unafanya kazi.
Mkuu wa uendeshaji wa Kampuni ya Copyright Management Eas t Africa Bw. Abdi Zagar aliesimama akimuelekeza Mhe. Waziri wa Habari , Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Nape Nnauye jinsi mfumo wa ukusanyaji wa mirahaba utakavyokuwa unafanya kazi, kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Copyright Management Eas t Africa Bw. Paul Matthysse .
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Copyright Management East Africa Bw. Paul Matthysse kulia akimuelekeza Waziri wa Habari , Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Nape Nnauye jinsi mfumo wa ukusanyaji wa mirahaba utakavyokuwa unafanya kazi.
(Picha na Benjamin Sawe- WHUSM)
No comments:
Post a Comment