Wednesday, March 12, 2014

HONGERA MOSES ALPHAGE KWA KAZI NZURI, WENGI TUNAKUKUBALI HASWA TUNAOTUMIA DARAJA LA KAWE

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam Suleiman Kova akimkabidhi Askari wa usalama barabarani ,Moses Alphage fedha taslimu Sh. Milioni 2 zilizochangwa na wafanyakazi wa Vodacom Tanzania na wasikilizaji wa kituo cha Radio Clouds FM kupitia program ya kuhamasisha na kupongeza utendaji kazi wa askari wa usalam barabarani jijinidar es salaam iliyonedeshwa na kituo hicho cha Redio. Alphag huongoza magari katika daraja la Mlalakuwa, Kawe




No comments:

Post a Comment