Wednesday, March 12, 2014

BAYEN MUNICH HUENDA WAKAADHIBIWA KWA SABABU YA MASHABIKI WAKE KUTOA KUDHALILISHA


Klabu ya Bayern Munich ya Ujerumani huenda wakajikuta matatani kutokana na utovu wa nidhamu uliooneshwa na mashabiki wake, katika mashindano ya UEFA wakati wa mechi baina yake na Arsenal.

Mashabiki hao waliobeba bango kubwa lenye kuwatukana Arsenal kwa kuwaita “mashoga (Gay Gunners)” huku ikionesha picha ya kuchora inayomuonesha kiungo wa Arsenal Mesut Ozil mbele ya nembo ya klabu hiyo, ni ya aibu na kudhalilisha katika mchezo uliochezwa Allianz Arena.


No comments:

Post a Comment