Sunday, May 19, 2013

YALIYOJIRI UZINDUZI WA VIDEO YA MUZIKI GANI

 Wasanii wa muziki wa kizazi kipya Diamond Platinum (aliyevaa kofi) na Ney wa Mitego wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kupanda jukwaani kwa ajili ya uzinduzi wa video yao ya 'Muziki Gani' iliyofanyika jana katika ukumbi wa Dar Live jijini Dar es Salaam.



 Msanii  Ney wa Mitego akitumbuiza mashabiki waliojitokeza kwenye uzinduzi wa video ya 'Muziki Gani'

 Wacheza shoo wa Diamond, Wasafi Classic wakifanya vitu vyao mbele ya mashabiki jana Dar Live

 Diamond Platinum (katikati)akicheza sambamba na wacheza shoo wake jana Dal live

Ney wa Mitego (kushoto) akiimba na Diamond Platinum jana usiku wakati wa uzinduzi wa video yao ya 'Muziki Gani' iliyofanyika Dar Live Mbagala jijini Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment