Taarifa zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa Polisi Mkoani Iringa inamtafuta Mbunge wa Iringa Mjini, Mhe. PETER MSIGWA (Pichani juu) kwa kuhamasisha vurugu Mjini Iringa.
Leo asubuhi jijini Iringa pametokea mpambano mkubwa baina ya polisi na wamachinga.
FUATILIA TAARIFA ZAIDI HAPA...
No comments:
Post a Comment