Kufuatia hotuba ya Wenje bungeni kutuhumu chama cha CUF kuwa ni chama cha kishoga, mbunge wa CUF amesimama na kuwaita chadema ni wehu, wahuni, wazushi, mashoga na kwamba wamekidharirisha chama hicho
Mbunge huyo wa CUF ameomba spika achukue hatua juu ya chama cha CHADEMA asipofanya hivyo chama hicho cha CUF watachukua hatua dhidi ya Chadema na bunge..
Kumetokea vurugu bungeni ambapo spika ameliahirisha bunge hadi jioni.
No comments:
Post a Comment