Thursday, May 30, 2013

MWILI WA NGWAIR KUWASILI JUMAMOSI


Mwili wa msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Albert Mangwea 'Ngwair' kuwasili Jumamosi nchini Tanzania kutoka Afrika Kusini ambapo siku ya Jumapili utaagwa jijini Dar es Salaam na kwenda kuzikwa siku ya Jumatatu Morogoro

No comments:

Post a Comment