Habari zilizotufika hivi punde zinadaiwa hadi sasa chanzo cha kifo cha msanii Albert Mangwea bado hakijafahamika, mpaka siku tano mwili wake utakapofanyiwa uchunguzi ndipo taarifa rasmi zitatolewa kwa mujibu wa kaka yake marehemu Kenneth Mangwea, na jopo zima la madaktari katika hospitali ya Hillbrow ambapo mwili wa marehemu umehifadhiwa
No comments:
Post a Comment