Thursday, May 30, 2013

M TO THE P AFYA YAKE YAIMARIKA, ATOKA ICU


Kwa kupitia taarifa ya  Millardayo ambaye yupo nchini Afrika Kusini alidai kuwa msanii Mganza Pembe 'M To The P' amepata nafuu na teyari ameshatoka katika chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) na kupelekwa katika hodi ya wagonjwa wa kawaida hali hiyo inaonyesha msanii huyo afya yake inazidi kuimarika.

No comments:

Post a Comment