Thursday, May 26, 2016

MKAKATI WA KUPIGA VITA AJIRA KWA WATOTO KATIKA SEKTA YA KILIMO WAZINDULIWA


Balozi wa Japan Nchini Tanzania, Masaharu Yoshida(kulia) akimpongeza  kwa kumshika mkono Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera,Bunge, Kazi,Vijana,Ajira na Walemavu, Dk. Abdallah Possi mara baada ya kuzindua Programu maamlumu ya Arise yenye lengo la kuelimisha jamii kupiga vita Ajira kwa Watoto katika Sekta ya Kilimo iliyozinduliwa Mkoani Morogoro juzi.

Mkurugenzi wa miradi ya jamii Duniani kutoka JTI(Global Director,Social Programs), Elaine McKay, akizungumza na wageni waalikwa(hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa Programu maamlumu ya Arise yenye lengo la kuelimisha jamii kupiga vita Ajira kwa Watoto katika Sekta ya Kilimo iliyozinduliwa Mkoani Morogoro juzi.

Balozi wa Japan Nchini Tanzania, Masaharu Yoshida, akizungumza na wageni waalikwa wakati wa ya kuzindua Programu maamlumu ya Arise yenye lengo la kuelimisha jamii kupiga vita Ajira kwa Watoto katika Sekta ya Kilimo iliyozinduliwa Mkoani Morogoro juzi.



No comments:

Post a Comment