Dkt TULIA ACKSON MWANSASU
Matokeo ya zoezi la kura za Naibu Spika
Idadi ya wabunge halali kikatiba ni 394
Webunge waliosajiliwa ni webbing 369
Akidhi ni 184
Waliopiga kura ni Wabunge 351, hakuna kura zilizoharibika
Mh. Magdalena Sakaya amepata kura 101 sawa na 28.8%
Mh. Dk. Tulia Ackson Mwansasu amepata kura 250 sawa na 71.2%
Naibu Spika ametangazwa na kudhibitishwa rasmi na Spika wa Bunge, Mh. Job Ndugai.
Dkt Tulia Ackson apishwa rasmi kuwa Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt Tulia Ackson apishwa rasmi kuwa Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
No comments:
Post a Comment