Tuesday, July 21, 2015

WASAFI RECORDS KUSAIDIA CHIPUKIZI

Diamond Pltnumz ni mmoja ya wasanii wa Tanzania ambao wana mafaniko ya kutosha, Diamond Platnumz kaamua kushare mafanikio yake kwa kufungua studio ya muziki na kurekodi nyimbo bure kabisa kwa wasanii chipukizi wasiokuwa na uwezo.

Kupitia kipindi cha Jump Off cha Timez fm Diamond Platnumz amesema “Wasafi Records’ sio nimelenga biashara itakuwa uongo,Lakini hiyo studio nilivyokuwa nimeiweka nimesema arekodiwe msanii yeyote mwenye kipaji.

Diamond ameongeza kuwa lebo yake itakuwa inawasaidia wasanii wadogo tu hivyo wasanii wakubwa watalimika kulipia huduma zitakazokuwa zinatolewa katika studio hiyo

1 comment: