Friday, July 24, 2015

BECKAM ACHORA TATTOO KUIENZI MAN UNITED

Aliyekuwa mchezaji wa klabu ya Manchester United na timu ya taifa ya England, David Beckham, ameonesha tattoo mpya ambayo inadaiwa ni kuikumbuka timu yake za Manchester.


Inadaiwa kuwa tattoo hiyo ni ukumbusho akiwa mchezaji wa Man U 1998/99 ambapo timu hiyo ilishinda makombe matatu, kombe ‘Treble’ la FA na ligi kuu ya mabingwa ulaya pamoja na ligi kuu ya England.


Tattoo hiyo ameiweka katika mtandao wa kijamii ikiwa ni namba inayoonekana 99 katika kidole chake cha mkono wa kushoto.

No comments:

Post a Comment