Tuesday, October 07, 2014

SIMANZI: G FULLAH AZIKWA, MAJONZI YATAWALA, WASANII WA MLILIA(PICHA)

G Fullah alifariki siku ya Jumapili tarehe 5 Octoba 2014 hospitali ya Muhimbili, Dar es salaam, akazikwa siku ya Jumatatu tarehe 6 Octoba makaburi ya Kinondoni. Marehemu alikua akisumbuliwa na tatizo la upungufu wa damu. Alifariki siku nane kabla singo yake ya kwanza "I'm Gonna Live Forever" kutoka, ambayo ameshirikishwa kwenye singo ya Joett pamoja na kundi la vijana (boyband) wa kitanzania Level One. Jina lake kamili, Furaha Mwaigomole, alifariki akiwa na umri wa miaka 28. Ameacha mtoto mwenye umri wa miaka 11. 
Mungu ailaze roho yake pahali pema peponi. 
Amen.










No comments:

Post a Comment