Tuesday, October 07, 2014

AIRTEL KUZINDUA TRACE MUSIC STAR, PIGA SIMU, IMBA, USHINDE


Anethy Muga, Meneja wa Masoko wa Airtel akitangaza namba itakayotumika katika mashindano ya Airtel Trace Music kuwa ni 0901002233 PIGA, IMBA , SHINDA na AIRTEL

CHINI: Kikundi cha Yamoto Band wakipasha kwaajili ya kutoa burudani kesho katika viwanja vya COCO Beach kuanzia saa 12 jioni wakati wa Uzinduzi wa Airtel Trace Music Stars, Kiingilio ni BURE














No comments:

Post a Comment