Thursday, October 16, 2014

MENEJA WA SLIPWAY NA MCHUMBA WAKE WAKUTWA WAMEKUFA NYUMBANI KWAO



Aliyekuwa Manager wa Sea Front Slipway mwanadada Roxane (Pichani kushoto akiwa na boyfriend wake), amekutwa amefariki nyumbani kwao akiwa na boyfriend wake, Slipway ni eneo maarufu sana jijini Dar es Salaam ambalo watt wengi huenda kujipumzisha nyakati za jioni ama wikiendi wake wa wanafamilia wenzao.

Habari za lifo cha Roxane na mpenzi zilitufikia na kujaribu kujua nini chanzo cha vifo hivyo bila mafanikio. tutaendelea kuwapasha lolote litakalo tufikia.




No comments:

Post a Comment