Friday, October 17, 2014

HIVI ANTIVIRUS, CLOUDS BADO WANABIFU! ANGALIA BIFU LA FIESTA VS CLIMAX

AIBU NYINGINE! Toka Toka maghoro

Baada ya kusikia Times Fm wanamleta msanii Davido kutoka Nigeria Redio ya wafu fm(blaus fm) wamekurupuka na kumhadaa msanii huyo na wanatangaza atakuwepo kwenye Siesta yao jumamosi.

Barua hiyo hapo chini ni uthibitisho kuwa hawa wafu fm(blaus fm) wanaendelea kujifanya Tanzania ni yao na wao wako juu ya sheria. Ni aibu kwa Davido na Taifa zima kwani kwa fitina na majungu ya shoga (Rugay) ni ushahidi tosha kuwa kujipendekeza kwao kwa Mkulu ndio wanajifanya wao wako juu ya sheria. Hatujakosea na hatutakosea kuyaongea kuhusu hawa wafu fm wanaojifanya kila kukicha wanainua na kukuza vipaji huku wakitumia mgongo wa propaganda za siasa kukandamiza,kuonea,kudumaza,ubabe,fitina,majungu,ushirikina kuingilia watu na wanajifanya wao wana dola wako juu ya sheria.

Kweli wafu fm ndio wanaosambaza upendo na kuonesha Uzalendo kwa style hii?
Hahahahaaaaa wanajua fika kuwa huyo T.I anaogopa kuja Bongo kwa sababu ya Ebola na mbaya zaidi wamewapiga watu changa la macho kuwa Davido anakuja. Watumie babe, watumie Ikulu lakini wakae wakijua hukumu yao haiko mbali dhidi ya yote wanayoyafanya na hii ni kutokana na mambo tunayoyasimamia ikiwemo ungese wao wanaofanya.
Times fm wameanza matangazo ya tamasha la Climax la Nov 1 na huyo msanii wa kuitwa Davido anasikika akiongea live na hapo hapo wao wamempiga changa kama walivyopiga ishu ya Malaria ya Sugu. Hahahahahaha sasa wafu mmejiweka uchi huku mnajifanya mnasambaza upendo kumbe
SAMBAZA CHUKI,

KUWA MNAFIKI ONYESHA MAPENGO.
Hii nchi inaongozwa kwa sheria na ubabe,majungu,kujipendekeza na fitina zenu huu ndio mwisho mfano ukianza kwa hili.
WATANZANIA WOTE(VINEGA) TUNALAANI UNAFIKI HUU.

Eti.mnasambaza upendo,kumbe kiwaki.mnasambaza ungese wenu. Daima tutasema kweli kwa hili wafu fm mmechemsha na mnazidi kuongeza sababu ya track ya 42 sasa sikilizieni kinachofuata.
Anaogopwa Mungu tu sio wafu fm wala Rugay

No comments:

Post a Comment