Habari zilizotufikia jioni hii ni kwamba majira ya jioni leo eneo la Mikocheni TMJ, jijini Dar es Salaam, majambazi wamevamia gari la wafungwa na kulimiminia risasi kisha kuondoka, tukio hilo lilisababisha baadhi ya wafungwa waliokuwa ndani ya basi hilo kutoroka
Picha chini zinaonesha basi hilo lilivyovunjwa vioo
No comments:
Post a Comment