Tuesday, July 01, 2014

MTATIRO AWAJIBU TANZANIA DAIMA, AWASHANGAA KWAKUBAHATISHA

JULIUS S. MTATIRO "Hii habari imenishangaza sana….Tanzania Daima nalo limegeuka kuwa gazeti la kuandika habari za kubahatisha namna hii…kwani hamna vyanzo vya habari sahihi???? nilitegemea UHURU ndo wahangaike kuandika habari zisizo na kichwa wala miguu ….tusubiri tena kesho watakuja sijui na sababu zipi. KUPUMZIKA KWANGU WADHIFA WA JUU NDANI YA CUF KUMEGEUZWA KUWA DEAL…..Nigawieni basi MGAO wangu mkishauza magazeti kwa habari za Uzushi!!!!!" 





No comments:

Post a Comment