Msanii kutoka Nigeria akiwa na msanii maarufu wa Marekani, Jennifer Hudson, Davido kwa mara nyingine tena ameibuka msanii wa kimataifa katika tuzo kubwa za burudani BET, Tanzania iliweza kupata fursa ya kinyang'anyiro hicho kwa kupitia msanii Diamond Platnumz.
No comments:
Post a Comment